Mkuu wa wilaya ya Iringa Dr Warioba akimkabidhi cheti cha ufanyakazi bora Ndg.Juliana Mkalimoto Afisa ugavi ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa
Maandamano sherehe ya Siku ya wafanyakazi yaliyofanyika katika uwanja wa Samora Iringa
Bango hilo likitoa ujumbe mzito kwa viongozi wetu mbalimbali katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi yaliyofanyika uwanja wa samora manispaa ya iringa
No comments:
Post a Comment